- ice
- ------------------------------------------------------------[English Word] ice[English Plural] ice[Swahili Word] barafu[Swahili Plural] barafu[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Derived Language] Farsi[Swahili Definition] maji yaliyo baridi na magumu kama mawe [Masomo 15]------------------------------------------------------------[English Word] ice age[English Plural] ice ages[Swahili Word] enzi ya barafu[Swahili Plural] enzi za barafu[Part of Speech] noun[Class] 9/10[Dialect] recent[Related Words] enzi[English Definition] a period in the past when the climate was colder and large areas were covered by thick ice sheets[Swahili Definition] kipindi kilichopita ambako hali ya hewa duniani ilikuwa baridi na sehemu kubwa ya nchi ilifunikwa na ganda nene la barafu[English Example] during the ice age 10,000 years ago the Bering Strait was dry and could be crossed by foot.[Swahili Example] wakati wa enzi ya barafu miaka 10,000 iliyopita mlango wa bahari wa Bering ulikuwa kavu ukapitika kwa miguu------------------------------------------------------------
English-Swahili dictionary. 2013.